KIWALANI YAPIGA HATUA KUBWA NDANI YA SIKU 100 ZA RAIS SAMIA.
Na Mwandishi Wetu
DIWANI wa Kata ya Kiwalani, Iddi Burah amesema ndani ya siku 100 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kata hiyo imepiga hatua katika nyanja mbalimbali za maendeleo katika ulinzi shirikishi, afya, elimu na biashara.
Burah ameyabainisha hayo Jijini Dar es salaam wakati akizugumza na waandishi wa habari,ambapo alisema katika eneo la ulinzi shirikishi, Mtaa wa Yombo awali ulikuwa na changamoto kubwa kutokana na mfumo wa zamani usio rafiki kwa wananchi.
Alisema huo umeondolewa na kuanzishwa mfumo mpya unaofanana na mitaa mingine, ambapo wananchi wanachangia kwa njia rasmi kupitia risiti za kawaida.
"Awali Mtaa wa Yombo ulikuwa pekee wenye changamoto hiyo, lakini sasa hali imeimarika na mfumo mpya umekuwa nafuu na unaokubalika kwa wananchi"alisema
Kwa upande wa barabara ya Relini hadi Matagini alisema imekuwa korofi kwa muda mrefu, hivyo tayari wameanza kutumia greda ili iweze kupitika kwa urahisi.
Aidha alimshukuru Rais Dkt. Samia kwa kuwezesha utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo katika Kata ya Kiwalani, akisema miradi hiyo itabadilisha taswira ya kata na kuona iwe ya kisasa na hiyo yenye mafanikio kwa muda ujao ujao.
Alisema katika mpango wa muda mfupi, kila kichochoro ndani ya Kata ya Kiwalani kitapata lami, jambo litakaloboresha usafiri na maisha ya wananchi kwa ujumla.
Katika ya afya, Burah alisema tayari amezungumza na Mkurugenzi wa Jiji kuhusu kituo cha afya cha Kiwalani ambacho kimekamilika kwa asilimia 99. Changamoto iliyopo sasa ni soko ya vyoo, hususan mashimo ya kuanza.
"Mkurugenzi wa Jiji tayari ametuhaidi kuwa eneo la mashimo hayo yatafanyika mwaka huu ili kituo hicho kianze kutoa huduma kwa wananchi. .. kituo hiki kina vifaa vya kisasa vilivyotolewa kwa uwezeshaji wa Rais Dkt. Samia"alisema
Kwa upande wa barabara, alisema kuna mpango wa kuweka matuta katika maeneo mbalimbali ili uhamisho ajali na barabara wa barabara, na tayari mazungumzo yameshafanyika na Mkurugenzi wa Jiji.
Burah alisema Rais Dkt. Samia amekuwa akisisitiza kufanya kazi kwa kuwasikiliza wananchi, kutatua kero zao na kutangaza katika mada kubwa ya Bomubomu na Kigilagila.
"Msoko haya ni makubwa na yamegharimu mabilioni ya fedha, uongozi wa kata unajipanga kuweka habari yanaongezeka kupitia masoko hayo"alisema
Katika ya elimu, Burah alisema alisema zinaonesha ufaulu umeongezeka mwaka huu mwaka jana, na matarajio ni kuwa ufaulu zaidi mwaka huu kutokana na sekta waliyojiwekea.
Alisisitiza kuwa uongozi wa Kata ya
Kiwalani umejipanga katika kila sekta ili kusaidia kata hiyo inapiga hatua na kuwa ya kisasa kwa maendeleo ya wananchi wake.



Comments
Post a Comment