WAZIRI MAKONDA AFUNGA MKUTANO WA BARAZA LA MICHEZO TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
Na Mwandishi wetu
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda @baba_keagan akipokelewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa @gersonmsigwa kwa ajili ya kufunga Mkutano wa Baraza la Michezo la Taifa na Viongozi wa Vyama vya Michezo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Machi 13, 2026.







Comments
Post a Comment