Popular posts from this blog
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA 24 ZIJAZO FEBRUARI 4,2026
AWESO ARIDHISHWA NA WINGI WA MAJI RUVU JUU
Na Mwandishi wetu WAZIRI wa maji Jumaa Aweso amekagua na kujiridhisha na wingi wa Maji yanayoingia katika Mtambo wa Maji Maji Ruvu Juu uliopo Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani ikiwa ni ishara ya kuendelea kuimarika kwa huduma ya Maji. Jumaa Aweso amesema hatua hiyo ni jitihada zinazoendelea kutekelezwa na Serikali kupitia Wizara ya Maji na Taasisi za DAWASA na Bonde la Wami Ruvu za kuhakikisha ana na upungufu wa huduma ya maji iliyojitokeza katika mikoa ya Dar Es Salaam na Pwani. "Nimeona kazi inayoendelea niseme kwa dhati nimefarijika na inanipa imani kubwa kwamba tutavuka salama katika kipindi hiki cha mpito, niwapongeze watu wa DAWASA, Bonde la Wami Ruvu, vyombo vya ulinzi na Usalama pamoja na wadau wote wanaoshiriki kazi hii kuhakikisha inakamilika kwa wakati" ameeleza Waziri Aweso. Aweso ameeleza kuwa maendeleo ya kazi hii ni hatua muhimu katika jitihada za kuwapatia huduma endelevu ya maji wananchi wa Dar Es Salaam na Pwani na kuendelea kuwaasa Wananchi k...

Comments
Post a Comment