BRENDA AELEZA MAHUSIANO YA HOTUBA YA LISSU NA GHASIA ZA OKTOBA 29
SHAHIDI wa utetezi kesi ya uhai inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, Brenda Rupia, amekubaliana na upande wa Serikali kwamba vituo au karatasi za kupigia kura, mali na hata kukata vidole vya waliopiga kura kumaliza uchaguzi au kuwafanya wananchi wengine wasiingie katika mchakato wa kupiga kura.
Kauli hiyo ilitolewa Septemba 9, 2026, wakati Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, akimhoji Brenda katika madodoso yaliyolenga kufafanua maana na athari za msimamo wa kuzuia uchaguzi uliokuwa ukihusishwa na Lissu na CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Katuga alimuuliza Brenda kuwa kama vituo vya kuchota karatasi za kupigia kura na kuwa kitendo cha kuzuia uchaguzi, shahidi akajibu, “Ni sahihi.” Alipoulizwa kama majibu mali kuleta kuvuruga amani na hatimaye hatimaye uchaguzi, Brenda pia alikubali. Aidha, alikubali kuwakata vidole vya watu waliopiga kura na kuwatisha wengine wasiende kupiga kura na hivyo kuzuia uchaguzi usifanyike.
Katika madodoso hayo, Katuga pia alimu Brenda kuhusu haki ya vyamauliza vingine uchaguzi endapo CHADEMA inaamini katika demokrasia. Brenda alikubali kuwa vyama vingine vina haki kushiriki uchaguzi na kwamba hiyo ni haki ya kikatiba. Pia alikubali kuwa kumzuia mtu uchaguzi si haki na kufanya kufanya hivyo ni kosa.
Hata hivyo, alipoulizwa kama anajua kwamba kumhamasisha mtu kuchagua uchaguzi ni kosa la jinai kisheria, Brenda alijibu, “Sijui kama ni kosa la jinai.” Katuga alipoendelea kumuuliza mtu aliyemsikiliza Lissu ana haki ya kuitafsiri hotuba yake kwa namna alivyoielewa, Brenda alikubali kuwa ni haki, akisema pia ni haki kwa mtu aliyeisikiliza na kuielewa hotuba kuifanyia kazi kwa namna ambayo anavyoona.
Katuga pia alimuuliza Brenda kuhusu kundi la wanachama 55 wa CHADEMA, maarufu G-55, ambao walikuwa wamepinga msimamo wa chama kuhusu uchaguzi na kuuelezea kama uasi ambapo Brenda alikubali kuwa wanachama wa CHADEMA na kwamba walipingana na msimamo huo. Alipo walipoona msimamo wa kuzuia uchaguzi unaashiria uasi ulijitoa kwenye chama, Brenda alieleza kuwa waliendelea kubaki, lakiniuliza baadaye walijiondoa kwenye chama.
Katika hatua nyingine, Katuga alimuuliza kama baada ya G-55 msimamo huo unaashiria uasi, Mwenyekiti alisema ni kweli msimamo huo unaashiria uasi. Brenda alijibu, “Ni sahihi.” Maswali hayo yaliibua moja kwa moja la namna msimamo wa kuzuia uchaguzi ulivyoeleweka na baadhi ya masuala ya chama hicho wakati huo.
.jpg)
Comments
Post a Comment