REA YAHAMASISHA WANANCHI KUTUMIA MKAA MBADALA
Yasisitiza ni salama, gharama nafuu na ni rafiki wa mazingira
Yathibitisha kuimarisha kuwawezesha wake
Na Mwandishi wetu
WAKALA wa Nishati Vijijini unahamasisha wananchi kote nchini kutumia matumizi safi ya bidhaa ikiwemo Mkaa mbadala ambao umeelezwa kuwa na gharama nafuu na salama kwa afya ya mtumiaji na mazingira.
Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala, Mhandisi Advera Mwijage kutoka REA ametoa wito huo Mei 31, 2025 alipotembelea na kukagua wa mkaa mbadala unaotokana na makaa ya mawe katika kiwanda cha Rafiki Briquettes kinachomilikiwa na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kilichopo Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani.
"Watanzania tusiogope mabadiliko katika matumizi ya nishati safi mbalimbali za kupikia. Mkaa unaoonyesha kutokana na makaa ya mawe ni salama kiafya, safi na nafuu sana katika matumizi. Katika ziara hii nimetembelea hapa nimejiridhisha pasi na shaka mkaa huu ni salama kutokana na teknolojia inayotumika katika matumizi," Amesisitiza Mhandisi Advera.
Amesema REA inatekeleza Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia na miongoni mwa majukumu iliyopewa ni kuhamasisha na kuwezesha, kutuma wa bidhaa za nishati safi ya kupikia ili kila mwananchi afikishwe na amudu gharama zake.
Amesema ametembelea kiwanda hicho ili kushuhudia hali ya mfumo wake, kujionea sekta ya mkaa mbadala ili kuwaondolea baadhi ya wananchi dhana iliyojengeka miongoni mwao ya kwamba mkaa huo si salama na pia kuona namna serikali kupitia REA itaendelea kuwezesha wa mkaa huo.
"Hapa ninavyozungumza tayari tumepokea maombi kutoka kwa STAMICO ya kuwawezesha kununua mitambo mingine ili waweze kutanua wigo wa kuendelea, nimeridhishwa na kazi inayofanyika na sisi REA tunaahidi kuona mkutano ili kuona lengo la Serikali kuongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan," amefafanua Advera.
Ameshauri STAMICO ina mada na vyombo vya habari na vyombo mbalimbali katika jamii katika kutoa elimu ya matumizi sahihi ya mkaa huo ili kuondoa dhana hiyo mbaya miongoni mwa jamii.
Akizungumzia malengo na hali ya wakati, Kaimu Mkurugenzi wa STAMICO, Deusdedith Magala alisema kiwanda hicho kinao uwezo wa kufikia kiasi cha tani 20 kwa saa na kiwanda hicho cha Kisarawe, STAMICO inamiliki viwanda vingine viwili vilivyopo kikiwa Dar es Salaam eneo la Tirdo na kingine Kiwira kulipo na malighafi hiyo ya makaa ya mawe.
"Lengo letu ni kuwa na viwanda 21 Tanzania Bara ili kurahisisha ufikishaji wa bidhaa kwa wananchi kwa gharama ambayo kila mwananchi anamudu, kwa sasa kilo moja ya mkaa kwa bei ya rejareja tunauza kwa shilingi 1,000 kwa bei ya jumla katika shilingi 800," amesema Magala.
Amesema viwanda viwili viko mbioni kukamilika kwa kinajengwa Mkoani Dodoma na kingine kinajengwa Mkoani Tabora kwa lengo la ukataji ovyo wa miti unaofanywa na wakulima wa tumbaku mkoni humo wakati wa kukata zao hilo," alisema Magala.
Naye Mhandisi Muendeshaji wa kiwanda, Goodluck Mhagama amesema mkaa huo ni rahisi kwani na mkaa wa miti kilo moja inaweza kutumika kwa zaidi ya Saa 4 bila uandikishaji ukali wake.
"Kilo moja ya mkaa huu unaweza kutumia maharagwe, nyama, wali ama kusonga ugali na hata kuhifadhi maji bila kuongea mwingine, wewe kazi yako ni kubadilisha tu sufuria," amesema Mhandisi Mhagama.
Amesema uandaa wa mkaa huo uzingatiaa vyote muhimu na kwamba mkaa huo ni salama na hauna madhara yoyote kwa mtumiaji wa mazingira na kwamba umethibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS)




Comments
Post a Comment