AGUSTINO AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIVULE.

 


Na Mwandishi wetu

MJASILIAMARI Agustino  Ngowi amechukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la kivule kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

 fomu hiyo mapema leo Juni,29,2025 Ofisi ya Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Sylvester Yared.

Aidha Ngowi amesema kuwa endapo chama Chake kitampa ridhaa hiyo atahakikisha anashirikiana na Wananchi wa kivule katika kutatua kero mbalimbali zinazohusu ubovu wa barabara na maendeleo mengine muhimu.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA