ALEX MSAMA AJITOSA KUMRITHI JERRY SLAA UKONGA.




Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM 

MKURUGENZI wa Msama Promotion Alex Msama amechukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea Ubunge katika Jimbo la Ukonga kupitia  Chama cha Mapinduzi (CCM)katika uchaguzi Mkuu Oktoba Mwaka huu. 



Msama amekabidhiwa fomu hiyo mapema leo Juni 29,2025 na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala,  Sylvester Yaredi.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA