HAPPYNESS MALYA AJITOSA UDIWANI VITI MAALUMU




Na Mwandishi wetu

KATIBU wa Shina Kigezi chini Kata ya Buyuni , Happyness Malya amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Udiwani viti maalumu.

Malya amechukua fomu mapema leo Juni 30,2025 na kukabidhiwa na Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Rosemary Mwakisalu.






Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA