HINDU SENYANGE AJITOSA UDIWANI VITI MAALUMU
Na Mwandishi wetu
MJUMBE wa Halmshauri kuu Jumuiya ya wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kata ya Liwiti, Hindu Senyange amechukua fomu ya kuteuliwa kugombea nafasi ya udiwani viti maalumu Halmshauri ya Manispaa ya Dar es salaam.
Senyange amechukua fomu mapema leo Juni 30,2025 na kukabidhiwa na Katibu wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Rosemary Mwakisalu.

Comments
Post a Comment