KIJANA ZEPHANIA AJITOSA KUGOMBEA JIMBO LA SEGEREA
Na Mwandishi wetu
ZEPHANIA Ombura leo Juni 29,2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Segerea Kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Ombura amechukua fomu hiyo na kukabidhiwa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala Chief Sylvester Yaredi
~2.jpg)
Comments
Post a Comment