LEONARD MAIGA AJITOSA UBUNGE KIVULE.
Na Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM
LEONARD Maiga amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Kivule kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)
Maiga amechukua fomu mapema leo Juni 30, 2025 na kukabidhiwa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala Sylvester Yeredi.


Comments
Post a Comment