MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA TATU WA BAHARI
Na Mwandishi wetu
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari (UNOC3), unaofanyika Jijini Nice nchini Ufaransa leo Juni 09, 2025.



Comments
Post a Comment