MASELE MASUNGA AJITOSA JIMBO LA SEGEREA
Na Mwandishi wetu
KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Masele Masunga amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Segerea Kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Masunga amechukua fomu mapema leo Juni 30,2025 na kukabidhiwa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala, Sylvester Yeredi.




Comments
Post a Comment