MASOUD MAPANDE AJITOSA UBUNGE JIMBO LA KIVULE


Na Mwandishi wetu,DAR ES SALAAM.

MTAALAMU wa Masuala ya Uchumi na Fedha kutoka Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Mosoud Mapande amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Kivule kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Mapande amechukua fomu mapema leo Juni 29,2025 na kukabidhiwa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala, Sylvester Yeredi 

Amesema endapo atapitishwa atahakikisha  anamsaidia Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea wananchi maendeleo.

.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA