MCHUNGAJI HANANJA: TUILINDE AMAMI ILIYOPO NCHINI

 


 

Na Mwandishi wetu,

MCHUNGAJI Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Richard Hananja ametoa wito kwa viongozi wa dini na watanzania kuhakikisha wanalinda na kutunza amani iliyopo nchini.

Mchugaji Hananja ametoa wito huo Jijini Dar es salaam mapema leo Juni 9, 2025 wakati akizugumza na waandishi wa habari.


Amesema amani ikitoweka nchi inaweza  ikasambaratika na kusababisha sitofahamu.

"Kukosoa sio tatizo Bali tatizo ni namna ya kukosoa kwamba kinapaswa kuwa kwa adabu na sio kutukana na kuzomea"amesema 


Aidha aliishauri Serikali kuwa makanisa yote yanayokiuka taratibu kupingwa pini..huku alisisitiza yafate taratibu zilizowekwa.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA