MKURUGENZI PENUEL FM ACHUKUA FOMU YA KUOMBA RIDHAA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIBAMBA
Na Mwandishi wetu
MKURUGENZI wa Penuel Fm Radio , Mchungaji Dr Alphonce Temba amechukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Mchungaji Dr Temba amechukua fomu Juni 28,2025 na kukabidhiwa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)wilaya ya Ubungo, Masunga Mwenge.



Comments
Post a Comment