MWIJUMA SEKE AJITOSA UBUNGE KIVULE
Na Mwandishi wetu
KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mwinjuma Abdul Seke amechukua na kurudisha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Kivule kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)
Seke amerudisha fomu mapema leo Juni 30,2025 na kumkabidhi Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ilala, Sylvester Yaredi.

Comments
Post a Comment