RAGI SAMWEL AJITOSA UBUNGE UKONGA




Na Mwandishi wetu,

KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye amewahi kuwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Kimataifa cha Kampala nchini Tanzania, Ragi Samwel amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).


Samwel amechukua fomu mapema leo Juni 30,2025 na kukabidhiwa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala , Sylvester Yeredi.




Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA