RAIS SAMIA ATAJA MAFANIKIO SEKTA YA NISHATI 2020-2025
Ni wakati akihitimisha shughuli za Bunge jijini Dodoma
JNHPP, Umeme Vijijini, Umeme wa Gridi Kigoma na Katavi; Ni baadhi ya Vielelezo vya mafanikio
Ataja miradi mikubwa ya usafirishaji umeme iliyokamilika
Ataka TANESCO kuanza kui Nyukilia kama moja ya vyanzo vya kuangalia umeme nchini.
Na Mwandishi wetu
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Sekta ya Nishati imekuwa na mafanikio makubwa katika kipindi cha miaka mingi.
Ameyasema hayo wakati akihitimisha shughuli za Bunge Jijini Dodoma tarehe 28 Juni 2025.
"Mheshimiwa Spika kutokana na umuhimu wa Sekta ya Nishati kwa maendeleo ya nchi, Serikali imeimarisha uchumi nchini kukamilisha mradi wa kufua umeme la Julius Nyerere (JNHPP)". Amesema Samia
Ameongeza kuwa, mbali ya kukamirisha mradi wa Julius Nyerere pia Serikali imekamilisha upelekaji wa umeme katika Vijiji vyote 12,318 nchini.
Amesema kuwa, msukumo wa kuungana na Serikali katika sekta ya kusitawisha uwezo wa mawaya wakati umewaza wakati megawati 4031.71 kutoka megawati 1,601.84 2020.
"Hali hii imechangiwa na miradi mbalimbali kama vile umeme ukiwemo mradi wa kilele cha umeme wa Julius Nyerere wenye megawati 2115, vilevile mradi wa Kinyerezi I Extension wa megawati 185 na mradi wa Rusumo ambao tumeutekeleza kwa Nchi tatu Tanzania, Burundi na Rwanda kwa mgawanyo wa megawati 26.67 kwa kila Nchi". Amesema Rais Samia
Katika miradi ya usafirishaji umeme amesema Serikali imekamilisha miradi ya usafirishaji umeme kutoka Singida hadi Arusha, Geita hadi Nyakanazi, na Julius Nyerere hadi Chalinze.
Miradi mingine ni Nyakanazi hadi Kigoma, Tabora hadi Urambo, Rusumo hadi Nyakanazi na ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kwenye njia ya Reli.
Amesema mafanikio hayo yameongeza upatikanaji wa umeme wa uhakika katika maeneo mbalimbali nchini.
Aidha ameeleza kuwa, Serikali imefanikiwa kuunganisha mikoa ya Kigoma na Katavi na gridi ya Taifa.
Kuhusu umeme Vijijini, Rais Samia amesema Tanzania imefikia hatua kubwa na kihistoria kwa kuunganisha Vijiji vyote 12,318 vya Tanzania Bara na huduma ya umeme.
Amesisitiza kuwa, kwa sasa Serikali inapeleka umeme kwenye Vitongoji ambapo vitongoji 33,657 tayari vimeshafikishiwa umeme kati ya Vitongoji 64,359 sawa na asilimia 52.3.
Kuhusu mbadala, amesema inampango kutumia kutumia ambapo amemuagiza Mtendaji wa TANESCO kuanza kutumia nishati ya Nyukilia.
Katika hatua nyingine, Rais Samia amesema Serikali inapanga kuweka ushindani katika Sekta ya nishati kwa kuialika sekta ya kushiriki wakati wa umeme.

Comments
Post a Comment