RAIS SHIRIKISHO LA FILAMU ANAUTAKA UBUNGE SEGEREA
Na Mwandishi wetu.
RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Rajabu Amiry amesema amejitathimini na kuona ana sifa ndio maana amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Jimbo la Segerea Kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Amiry alichukua fomu Juni 28,2025 na leo Juni 30,2025 amerejesha na kuikabidhi kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala Sylvester Yeredi


Comments
Post a Comment