SHEIKH PONDA AJIUNGA RASMI NA ACT WAZALENDO
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda mapema leo Juni 5, 2025 amejiunga rasmi na Chama cha ACT Wazalendo na kupokelewa na wanachama wa Chama hicho na viongozi wa juu katika makao makuu ya Chama hicho Magomeni Jijini Dar es salaam .




Comments
Post a Comment