SIDODO AJITOSA KUGOMBEA UDIWANI VITI MAALUMU

 


Na Mwandishi wetu

MWANACHAMA wa Jumuiya ya wanawake kata ya Ukonga Wilaya ya Ilala Magreth Gudiluck Sidodo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Udiwani wa Viti maalumu kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)

 Sidodo amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Umoja wa Wanawake (UWT) wilaya ya Ilala Rosemary Mwakisalu mapema leo Juni 29,2025




Magreth Sidodo amesema ameamua kuomba ridhaa ya kugombea nafasi hiyo ili kuunga mkono jitihada zinazofanywa Mwenyekiti Taifa wa Chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo Watanzania.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA