TUWE NA MAONO YA KUIONA KESHO YETU – DKT. BITEKO
Ni katika Bonanza la Wizara ya Nishati na Taasisi zake
Na Mwandishi wetu
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake kuwa na maono ya kuweza kuweza kuleta hali itakayowasaidia katika utendaji wa kazi na kupata suluhisho la changamoto zinazoweza kutokea kabla ya changamoto hizo kutokea.
Dkt. Biteko ameyasema hayo leo Julai 28,2025 katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma, watumishi wa wizara na Taasisi zake wafungua Bonanza la michezo mihusisha Wizara ya Nishati na Taasisi zake.




Comments
Post a Comment