WAKILI MANDESI ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUGOMBEA UBUNGE SEGEREA.
Na Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM
WAKILI Msomi Gidioni Mandesi amechukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)
Wakili Mandesi amekabidhiwa fomu hiyo leo Juni 29,2025 na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala, Sylvester Yaredi

Comments
Post a Comment