WATUMISHI WA MAGEREZA MANYARA WAPATIWA MAJIKO YA GESI

 


Mifumo ya kuanza wa bayogesi 126 mbioni kuanza

REA, Jeshi la Magereza kununua mashine 61 za mkaa mbadala

REA kuwajengea uwezo magereza uendelezaji miradi ya nishati safi

Saidy amewataka magereza kuwa mabalozi wa nishati safi

Na Mwandishi wetu

SERIKALI imewapatia watumishi wa Jeshi la Magereza mitungi na majiko ya gesi ili kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya watumishi na wananchi iliyolenga malengo ya kitaifa katika utafiti.

Hayo yamebaishwa leo Juni 26, 2025 na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu wakati wa sanaa ya kugawa majiko ya watumishi wa magereza kufanyika iliyofanyika kwa muda wa Babati mkoani Manyara.


Amesema kuwa, katika mkoa wa Manyara tayari Serikali imegawa mitungi ya gesi na majiko ya gesi yapatayo 330 kwa watumishi wa jeshi la magereza na katika gereza la Babati jumla ya majiko na mitungi 150 wamegawiwa watumishi hao wa magereza.



Amesema kuwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia makubaliano na Jeshi la Magereza na kuwezesha magereza kuhama kutoka matumizi ya matumizi yasiyo salama kwenda katika matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia katika magereza yote nchini.

"Kuanzia mwanzoni wa mwezi januari 2025 jeshi la magereza walishaingia kwenye matumizi ya nishati safi na salama wameachana na nishati na chafu kwa afya na mbaya kwa mazingira yetu," Ameongeza. 

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Hassan Saidy amewataka watumishi wa jeshi la magereza kuibeba ajenda ya Mhe. Rais Samia ya kuwa na nishati safi ya kupikia hapa nchini. 

Katika hatua nyingine Saidy ameweka, 3 ya kwamba waogesi ipatayo 126 tayari mbio ipo kuanza kwa jeshi la magereza ambalo itawezesha ununuzi wa mashine kutengeneza mbadala 61, vile vile kuwajengea uwezo watumishi wa jeshi la magereza ya miradi hiyo ya nishati.

Kwa upande wake, Mkuu wa Magereza mkoa wa Manyara ACP Solomon Mwambingu amemshukuru Rais Samia kwa kuwapatia watumishi wa magereza majiko ya gesi na mitungi ya gesi na kusisitiza kuwa wataendelea kuwa mabalozi wa nishati safi ya kusoma katika jamii yote inayowazunguka.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA