ALEX MSAMA ARUDISHA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA
Na Mwandishi wetu
MKURUGENZI Mtendaji wa Msama Promotion, Alex Msama amerudisha fomu ya kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la ukonga.
Msama amerudisha fomu Julai 1 ,2025 kwa katibu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala Sylvester Yaredi.

Comments
Post a Comment