AMIRY MHANDO ARUDISHA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA JIMBO LA KIVULE.
Na Mwandishi wetu
MTIA nia ambaye ni kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Amiry Abdallah Mhando amerudisha fomu ya kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Kivule.
Amerudisha fomu Julai 1,2025 na kuikabidhi kwa katibu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala Chief Sylvester Yaredi.
.



Comments
Post a Comment