ANITA KIMARO WAITARA AJITOSA UBUNGE JIMBO LA KIVULE




Na Mwandishi wetu

MKURUNGEZI Mtendaji wa Kampuni ya G&S mkazi wa Jimbo la Kivule Anita Kimaro Waitara, amechukua  na kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kivule Wilayani Ilala. 

Anita Waitara alichukua katika ofisi za chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ilala ambapo hizo alirejesha Julai 2 mwaka huu mara baada ya kukamilisha taratibu.

Anita Waitara amessmq ametia nia Kivule kutokana na kuona jimbo hilo lina changamoto mbalimbali hivyo chama chake kikimteua na kumpa ridhaa atatatua changamoto zao zinazoikabili jimbo hilo. 

"Mimi ni kiongozi nimeshika wadhifa mbalimbali katika taasisi za Serikali baadae nikaacha nikajiali mwenyewe pia ni Mlezi wa vikundi mbalimbali vya Wanawake nimeweza kuona katika uchumi na kuwainua Wanawake kiuchumi "alisema Anita.

Anita amesema sasa hivi amechukua fomu ya kuomba ridhaa kuomba kugombea jimbo jipya la Kivule aweze kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan aweze kuwasilisha changamoto za kivule na kuzitatua .

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA