DAUD IKWABE AJITOSA UBUNGE JIMBO LA KIVULE
KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Daud Ikwabe amerudisha kurudisha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Kivule kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)
Ikwabe amerudisha fomu hiyo leo Julai 1,2025 kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala Chief Sylvester Yaredi.
Amesema ameamua kugombea nafasi hiyo ili kumsaidia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwaletea maendeleo wananchi wa Kivule.

Comments
Post a Comment