FERNANDO WOLLE AJITOSA UBUNGE JIMBO LA KIBAKWE
Na Mwandishi wetu
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Fernando Wolle amechukua Fomu na Kurejesha ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Katika Jimbo la Kibakwe Wilaya ya Mpwapwa Jijini Dodoma
Wolle anatarajiwa kumkabili George Simbachawene ambaye anatetea nafasi yake.


Comments
Post a Comment