GAVANA BoT: TAASISI AMBAYO HAITAJISAJILI TAMFI AU TAMIU KUFUTWA
Na Mwandishi wetu
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania,(BoT) Emmanuel Tutuba, amezitaka Taasisi za Huduma Ndogo za Fedha Daraja la pili kujiunga na taasisi kati ya Mwamvuli wa Taasisi ya Zinazotoa Huduma Ndogo za Fedha (TAMFI) na Umoja wa Taasisi Zinazotoa Huduma Ndogo za Fedha( TAMIU) ifikapo Mwishoni wa mwezi Desemba 2025.
Gavana Tutuba amesema hayo alipozindua kutekeleza Utekelezaji wa Hati ya Makubaliano ya Ndoto ya Binafsi za Huduma za Fedha, kati ya Benki Kuu, TAMFI na TAMIU.
“Taasisi zote za Huduma Ndogo za Fedha Daraja la pili hulazimika kujiunga na chama kimojawapo kati ya TAMFI au TAMIU ndani ya kipindi cha miezi 6 na zoezi hili linatakiwa kuanza kuanza kuanzia tarehe 1 Julai hadi mwishoni mwa Desemba 2025.
Taasisi ambayo itakuwa haijajiandikisha tutainyang'anya leseni”. Amesema Gavana Tutuba.
Amesema kuwa lengo la kuwataka huduma hiyo kujisajili katika vyama hivi ni kuboresha huduma na kutatua changamoto mbalimbali zinazosababisha huduma za huduma hizo.
Aidha, Gavana amesema kuwa utaratibu huu wa kutuma binafsi utahakikisha TAMFI na TAMIU zinasimamia utendaji wa taasisi zinazotoa huduma ndogo za fedha kwa kuzingatia kanuni za lengo la kutokomeza changamoto mbalimbali katika sekta hiyo ikihusisha Mikopo Umizaji.
“TAMFI na TAMIU itakuwa na jukumu la mwenendo wa wanachama wao kwa kuzingatia kanuni bora za kimaadili, kuhamasisha utoaji wa elimu ya fedha kwa wateja, kubwa na utaratibu wa malalamiko, Kuweka taratibu za uwajibikaji na uwazi katika utoaji wa huduma, na Kuwezesha utekelezaji wa kanuni na miongozo ya kiserikali,” Amesema.
Amesema kuwa itaendelea sekta hiyo kupitia utekelezaji wa sera, kugundua na leseni, ulinzi kwa huduma za fedha, kuona wa sekta ya sekta, na itahakikisha inashirikiana kwa karibu na vyama hivyo ili kuhakikisha kwamba misingi ya makubaliano hayo yanatekelezwa.
Kwa upande wake, Naibu Gavana wa Benki ya Tanzania (Usimamizi wa Sekta ya Fedha), Sauda Msemo, amesema taasisi ndogo za fedha nchini hadi sasa 2,600 linamchango mkubwa katika kuongea ujumuishi wa huduma za fedha nchini na kuendelea kuimarisha sekta ya fedha.
“Benki Kuu inatambua na kuthamini mchango huu, na ndio maana tumeamua kuweka utaratibu wa kibinafsi, utaratibu ambao unalenga kuboresha uwajibikaji na uwazi katika sekta ya fedha, kwa lengo la kuendelea kumlinda mtumiaji wa fedha,” Amesema Msemo katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Mkurugenzi wa kampuni ya Sekta ya Fedha, Sadati Musa.
Naye, Mwenyekiti wa Bodi ya TAMFI, Devotha Minzi pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha TAMI, Juma Mnanka,wameipongeza Benki Kuu kwa kuja na huu na wameahidi wataendeleza sekta hiyo inaimarika.




Comments
Post a Comment