MAFUTA GHAFI MRADI WA EACOP KUZALISHA UMEME KUKIDHI MAHITAJI WAKATI WA DHARURA.




Mradi kutumia Megawati 100 za umeme wa TANESCO kama kikuu cha kuendeshea chanzo.

Kazi ya utandazaji habari za umeme ardhini kipande namba 15 kilichopo Handeni yafikia asilimia 45

Mradi wanufaisha Wazawa kupitia uhaulishaji wa teknolojia kutoka kwa Wataalamu toka nje

Na Neema Mbuja, Tanga

MRADI wa ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani mkoani Tanga utazalisha umeme wake kwa kutumia mafuta yatakayo kuzalisha ili kukidhi mahitaji ya nyakati za dharura.

Hayo yamesemwa Mratibu wa Kipande namba 15 kwenye eneo la uchomeleaji, ulazaji wa mabomba na utandazaji wa maneno ya umeme zitakazotumika kwa vituo vya kusukuma mafuta, Mhandisi Peter Mwinuka alipokuwa akizungumzia maandalizi ya ujenzi na utandazaji wa fedha kwa ajili ya kufika kwa umeme eneo la mradi ili kukidhi mahitaji ya dharura wakati wa utekelezaji wa mradi.




Amesema licha ya ujenzi wa miundombinu hiyo ya umeme wa dharura, Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania-(TANESCO), linatarajia kuipatia EACOP jumla ya megawati 100 kwa ajili ya matumizi ya umeme eneo lote la mradi kwenye vituo vya kusambaza umeme vya Majani mapana, Kyaka, Kibeta, Bulyanhulu, Lusu, na Singida, ambapo kwa upande wa Umeme mradi huo utatumiwa. Igungai, Mbogwe, Singida na Tanga ambapo kila moja itakuwa na megawati 25.

Akizungumzia teknolojia hiyo ya kupokea umemefanya kazi, Mhandisi Peter amesema kimsingi mafuta yatasafirishwa sambamba na laini 2 kutoka tilenga hadi Uganda kwa kutumia majenereta maalumu kama ilivyo kwa njia ya gridi kwa kutumia laini zizlizo sambamba na bomba la mafuta.





Amesema kwa sasa kazi ya utandazaji hiyo ya umeme sambama na imefikia asilimia 45 na kueleza kuwa vyanzo vingine vya umeme vitakavyotumika wakati wa utekelezaji wa mradi huo ni pamoja na umeme wa jua kwa sasa wako kwenye mazungumzo ya utekelezaji wa mradi ambao utatekelezwa eneo la kambi mradi utakapokamilika.

Amesema kwa mujibu wa mpango kazi, wanalazimika kulaza mabomba hayo kwa takribani kilometa 3 kwa siku kama hakuna changamoto. hadi kilomita 2 mpaka 1.5 kama kuna changamoto.

Akitoa tathmini ya ushiriki wa wazawa kwenye utekelezaji wa mradi wa EACOP sambamba na manufaa kwa wazawa mmoja wa wanufaika wa mradi ambaye ni kijana David Chinanda amesena kumekuwa na mafanikio makubwa kwenye mradi huo kutokana na ujuzi kwa njia ya kampuni ambao wana uzoefu mkubwa kwenye miradi kama hiyo.

Amesema awali hafahamu masuala mengi kuhusu ubora na utekelezaji wa miradi kwenye sekta ya mafuta ila haraka na kupeleka elimu ya hapo awali amekuwa ni mjuzi zaidi kiasi cha kuwafundisha wengine.

'' Kiukweli sikuwa mtaalamu kabisa kwenye teknolojia hii ya kusimika mabomba ardhini ila nawashukiru hawafiki kwa sasa wazawa tumenufaika na utaalamu wao na tunaweza kufanya kazi popote hata za kimataifa'' Amesema David.

Ameeleza kuwa, mradi huo wa Bomba la Mafuta Ghafi umeajiri wengi wenye ujuzi na wasio na ujuzi na kuwafanya wafanye vizuri.

Kwa upande wake mtaalamu wa masuala ya ubora na ambaye ni mradi wa kipande namba 15, Mhandisi Gokhan Demircan amesema anafurahishwa na namna nzuri wanaotekeleza mradi wa EACOP wanavyojifunza kwa bidii teknolojia mbalimbali na kufanya vizuri.

Amesema vijana wengi wazawa walioko kwenye mradi wa EACOP wanaweza kuutumia ujuzi kwenye utekelezaji wa miradi minhine mikubwa ndani na nje ya nchi kwa kuwa ujuzi walioupata ni zaidi ya ule wa vyuo vya _mafunzo.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA