MAKAMU WA RAIS SMAUJATA AJITOSA UBUNGE KIVULE.



Na Mwandishi wetu

MAKAMU wa RAIS wa Seneti ya Jumuiya (SMAUJATA) shujaa wa Maendeleo ya Ustawi wa Jamii, Fredrick Rwegasira amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Kivule kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Rwegasira amechukua fomu hiyo Julai 1,2025 na kukabidhiwa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ilala Sylvester Yaredi. 

Amesema amejipima na kujitambua kua anafaa kugombea nafasi hiyo kwa ajili ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Kivule.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA