MFANYABIASHARA NCHAMA ARUDISHA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA UBUNGE KIVULE.
Na Mwandishi wetu
MTIA nia ya Ubunge Jimbo la Kivule, Chacha Nchama amerudisha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Jimbo la Kivule kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Nchama ambaye ni mfanyabiashara amerudisha fomu mapema leo Julai 2,2025 na kuikabidhi kwa katibu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala, Sylvester Yeredi.


Comments
Post a Comment