MWANASHERIA JOHN PETER AJITOSA UBUNGE JIMBO LA UKONGA



Na Mwandishi wetu 

MWANASHERIA  John Peter amechukua fomu ya  kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Peter amechukua fomu hiyo  mapema leo Julai 1,2025 na kukabidhiwa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala, Sylvester Yeredi.



Peter amesema endapo atapata ridhaa ya kuteuliwa na Chama atahakikisha anatatua chagamoto zinazowakabili wananchi wa Jimbo hilo.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA