MWENYEKITI TUGHE MKOA WA DAR ES SALAAM AJITOSA UBUNGE KIVULE
Na Mwandishi wetu
MWENYEKITI wa Chama cha Wafanyakazi Mkoa wa Dar es salaam (TUGHE) na Mjumbe Kamati kuu(TUGHE) Brendan Maro amerudisha fomu ya kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Kivule Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) .
Marco amerudisha fomu mapema leo Julai 2,2025 na kuikabidhi kwa katibu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala, Sylvester Yeredi.



Comments
Post a Comment