OFISA MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR AJITOSA UBUNGE KIVULE
Na Mwandishi wetu.
OFISA wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Weaver Indah amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa Ubunge Jimbo la Kivule.
Indah amechukua fomu mapema leo Julai 1,2025 na kukabidhiwa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala, Sylvester Yeredi.

Comments
Post a Comment