RAIS WA SHIRIKISHO LA FILAMU ASHIRIKI MKUTANO WA FILMMAKERS
Na Mwandishi wetu
RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania,
Rajabu Amiry akiwa na marais na viongozi mbalimbali wa mashirikisho na vyama vya “Filmmakers” katika nchi nane za Africa.
Baada ya vikao vya siku tatu Kampala Uganda wamesaini MOU kwa lengo kufungua mlango mwingine wa Filamu (Sream East).



Comments
Post a Comment