SALMINI NCHIMBI AJITOSA UDIWANI KATA YA MWEMBESONGO



Na Mwandishi wetu

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti Chipukizi (CCM) wilaya Ya Morogoro Mjini na Mjumbe wa Baraza Kuu (Uvccm) Taifa - Kuiwakilisha Chipukizi,Salmini Nchimbi amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Mwembesongo,wilaya ya Morogoro Mjini Mkoa wa Morogoro.

Salmini ni miongoni mwa vijana waliamua kugombea nafasi hiyo katika Kata ya Mwembesongo.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA