WATIA NIA UBUNGE 84 WAREJESHA FOMU ZA UBUNGE WILAYA YA ILALA
Na Mwandishi wetu
WATIA nia ya Ubunge 84 leo Julai 2,2025 wamerejesha fomu za ubunge Wilaya ya Ilala katika majimbo yote manne Ilala,Segerea,Ukonga na Kivule.
Hayo yamebaini mapema leo 2,2025 Jijini Dar es salaam na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala Sylvester Yaredi wakati akizumza na Waziri wa habari.
Amesema mchakato wa kurudisha fomu na kuchukua fomu dirisha limefungwa saa kumi kamili ambapo katika zioezi hilo waliochukua waliochukua fomu jumla 87 na Wagombea waliorejesha 84 .
Amesema katika jimbo la Kivule wamechukua fomu 46 wamerejesha 44,Jimbo la Segerea wamechukua 18,wamerejesha 17,Jimbo la ukonga wamechukua 11 na wamerejesha 11,na Jimbo la Ilala wamechukua 12 na wamerejesha 12.
Mmoja wa wajibu ubunge jimbo la Segerea Aidan Kwezi pamoja na
Mwenyekiti Mstaafu wa Umoja wa Vijana Chama cha Chama cha Mapinduzi (CCM)Willayani Ilala,pia ni Wakili Alfred Tukiko Oktchi.
Wengine ni Wengine waliorejesha fomu za Ubunge, Lameck Nyambaya,Anita Waitara,Mzee Yusuph wa Jahazi Taarabu,Jerry Silaa,Ojambi Masaburi,Mhandisi Amiri Abdalah Muhando,Masunga Masele,Angelina Akilimali Frederick Rwegasira,Chacha Wambura Nchama Rajabu Amirike Mwinyimwe.
Mwisho




Comments
Post a Comment