WAKILI ALFRED TUKIKO AJITOSA UBUNGE JIMBO LA KIVULE





Na Mwandishi wetu

MWENYEKITI Mstaafu wa Umoja wa Vijana Chama cha Chama cha Mapinduzi (CCM)Willayani Ilala,pia ni Wakili Alfred Tukiko Oktchi, amerudisha fomu ya kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Kivule kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Wakili Tukiko amerudisha fomu na kuikabidhi kwa katibu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala Dar es Sylvester Yeredi. 

Tukiko amesema yeye ni kada wa Chama cha Mapinduzi amelelewa na UVCCM mpaka amekuwa Mwenyekiti wa eneo ana uwezo mkubwa kwa ajili ya kazi za chama.

" Nimekuwa kiongozi nafasi mbalimbali amejipima na kuona anatosha kuwaogoza wananchi wa Kivule ili katika Jimbo Jipya niweze kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo" amesema Tukiko.




Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA