BANDA LA TAA LAFANA NANENANE,KAIMU MKURUGENZI WA TMA ATEMBELEA.

 




Na Mwandishi wetu

KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Ladislaus Chang'a ametembela Banda la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania( TAA) katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Dodoma. Dkt, Chang'a ameipongeza TAA kwa kuendelea kutoa huduma bora na za kisasa katika Viwanja vya ndege hapa nchini.

Maonyesho ya Kilimo ya Nanenane yanaongozwa na kauli mbiu " Chagua viongozi bora kwa Maendeleo ya kilimo, Mifugo na Uvuvi 2025".

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA