CCM ILALA YAWATAKA WAGOMBEA UDIWANI KUVUNJA MAKUNDI NA KUIMARISHA UMOJA
Na Mwandishi wetu
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala, Chief Sylvester Yaredi, ametoa wito kwa wote wa nafasi ya Udiwani katika kata mbalimbali wilayani humo kuvunja kuvunja, kusahau mchakato wa awali na kuingia kwenye uchaguzi wakiwa wamoja kwa lengo la kukipatia chama ushindi wa kishindo katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 29, 2025.
Yaredi ametoa wito huo Jijini Dar e salaam mapema leo Agosti 15, 2025 wakati wa hafla ya kuwakabidhi ujumbe hao barua za uteuzi kwa ajili ya kugombea nafasi ya udiwani kupitia tiketi ya CCM.
"Nimewaomba wote warudi kwa wale waliokuwa wanagombea nao. Wasione kama wao ni bora zaidi, bali watambue ni nafasi ambayo imewaangukia kwa wakati huu.
Aidha, amesisitiza kuwa uteuzi wa uzingatiaji kuzingatia vya msingi na si upendeleo, hivyo hakuna sababu ya chuki au majivuno miongoni mwao.
“Chama kimepima sifa za wote. Kulikuwa na ushindani mkubwa, lakini nafasi ilikua moja. Hivyo waliochaguliwa hawana sababu ya kujiona bora au kuwadharau wenzao,” ameongeza.
Aidha amesema ujumbe wote walioteuliwa wameonyesha nia ya dhati ya kujihusisha na kuungana ili kusaidia CCM inaingia kwenye kampeni ikiwa na mshikamano na nguvu ya pamoja.

Comments
Post a Comment