DK.MWINYI ACHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBAR




Na Mwandishi wetu 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,  Dkt. Hussein Ali Mwinyi ambaye pia ni Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo tarehe 30 Agosti 2025 amechukua fomu ya uteuzi wa kuwania kiti cha Urais wa Zanzibar katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Maisara, Mkoa wa Mjini Magharibi.

Dkt. Mwinyi ameambatana na Mke wake Mama Mariam Mwinyi pamoja na familia na viongozi mbalimbali wa CCM wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar,  Dk.Mohamed Said Dimwa  pamoja na wanachama na wakereketwa wa maendeleo waliokusanyika kwa wingi kushuhudia hatua hiyo muhimu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar 2025.









Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA