DKT NCHIMBI AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA BUTIAMA


 


Na Mwandishi wetu

MGOMBEA Mwenza wa Kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, kijijini Mwitongo,Butiama na kuzuru kaburi la mwasisi huyo wa Tanzania na CCM.

Dkt.Nchimbi ameingia mkoani Mara hii leo Agosti 30, 2025 akitokea mkoa wa Mwanza ikiwa ni katika harakati za kuomba ridhaa ya watanzania katika Uchaguzi mkuu unaotarajiwa Kufanyika Oktoba 29, 2025.








Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA