DKT. SAMIA AENDELEA NA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU,AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIBAIGWA
Na Mwandishi wetu
MGOMBEA wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kibaigwa katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Dodoma tarehe 30 Agosti, 2025.





Comments
Post a Comment