DKT. SAMIA NA DKT NCHIMBI WAKABIDHIWA FOMU ZA UTEUZI WA KUGOMBEA URAIS
Na Mwandishi wetu
MGOMBEA wa nafasi ya Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Dkt. Emmanuel Nchimbi, wamekabidhiwa fomu za uteuzi wa kugombea nafasi ya Rais na Makamu wa Rais katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC).
Mwenyekiti wa INEC, Jaji Jacobs Mwambegele, amekabidhi fomu hizo kwa wagombea hao leo Agosti 9, 2025, katika hafla iliyofanyika Njedengwa, jijini Dodoma




Comments
Post a Comment