KAPINGA AONGOZA KURA ZA MAONI MBINGA VIJIJINI
Na Mwandishi Wetu
ALIYEKUWA Naibu Waziri wa Nishati,Judith Kapinga ameongoza katika kura za maoni Jimbo la Mbinga Vijijini kwa kupata kura 12,975 .
Wagombea wengine walioshiriki katika kinyang’anyiro hicho ni Benaya Kapinga kura 1,292 ,James Mapunda aliyepata kura 416, Allen Mhagama 133, CPA Martin 80, na Philimon Nkolela 45.

Comments
Post a Comment