MAJALIWA: ELIMU YA WATU WAZIMA NI ZANA YA MAENDELEO ENDELEVU

 


 Na Mwandishi wetu

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema watu wazima wazima sio tu elimu ya masomo, bali ni muhimu sana katika maendeleo endelevu, kwani inachangia kipato, ustawi wa kijamii, afya na ushiriki wa kiraia.

Ameongeza kuwa na ulimwengu unaonesha kwamba elimu ya watu wazima ni chombo muhimu cha maendeleo ya uchumi, naongeza nguvu.

 Amesema hayo leo Jumatatu (Agosti 25, 2025) alipofungua kongamano la kilele cha utekelezaji wa miaka 50 ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima inayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

 “Elimu ya tukio la muda mrefu ni safari endelevu ya kujifunza katika maisha yote, elimu ya Watu wazima kwa ajili ya watu pekee, bali kundi la vijana wanaweza kujiunga na kunufaika na programu mbalimbali zinazotolewa na taasisi hiyo”.




Katika hatua nyingine, Majaliwa amesema kuwa Serikali inatambua kwamba katika kipindi cha nusu, Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima imepiga hatua na kutoa mchango katika maendeleo ya Taifa.

 “Taasisi ya Elimu ya Wazima imekuwa ikishauri Serikali kwenye maeneo ya kisera na kitaalamu katika masuala ya elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo iliyosaidia kuwafikia Watanzania wengi zaidi hawajapata fursa ya elimu”.

 Majaliwa Mheshimiwa ameielekeza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa Taasisi ya Elimu Wasaidia kuongea wigo wa kupata elimu ya watu ambao wanaweza kuwafikia wateja katika maeneo mbalimbali na yenye changamoto za kijamii na kijiografia.

 Pia, ameitaka Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima kwa mada na waendelee kufanya utafiti wa wadau mara kwa mara kwa maagizo na elimu ya watu wazima ilibaini changamoto zinazojitokeza na kuandaa suluhisho linaloendana na mahitaji halisi ya jamii.

Naye, Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa Taasisi ya Elimu ya Watu wazima imekuwa ikitekeleza miradi mikubwa na kimkakati ikiwa ni mradi wa SEQUIP (Secondary Education Quality Improvement Project) ambapo umefanikiwa kuwarejesha wasichana 13,272 katika mfumo wa elimu katika kipindi cha miaka mingi.

 Amesema kuwa mradi mwingine ni IPOSA (Integrated Programme for Out-of School Adolescents) ambao umewezesha kuwajengea uwezo vijana 10,000 walioko nje ya mamlaka rasmi katika maeneo ya maisha, ujasiriamali na ufundi wa awali

 Kwa Upande wake Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Prof. Philipo Sanga amesema kuwa Taasisi hiyo inajivunia mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita hasa katika kuboresha elimu pamoja na elimu ambayo inagusa mikopo yote pasipo ubaguzi.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA