MGOMBEA URAIS NRA AKABIDHIWA FOMU NA INEC

 


Na Mwandishi wetu

MWENYEKITI wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC),  Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, leo Agosti 9, 2025, amemkabidhi fomu ya uteuzi Mgombea wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA),  Hassan Kisabya Almas.

Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika katika ofisi za Tume zilizopo Njedengwa, Jijini Dodoma, ambapo Almas aliambatana na Mgombea Mwenza wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia chama hicho, Hamis Ali Hassan.






Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA